Natafuta soko la white Quartz

Natafuta soko la white Quartz

kimun

New Member
Joined
Apr 1, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Msaada kwa anaejua soko zuri la wanunuzi wa madini ya mawe ya white Quartz (sio yale transparent bali yale meupe kabisa rangi kama maziwa) ukiniconnect na mteja pesa yako ipo
 
Msaada kwa anaejua soko zuri la wanunuzi wa madini ya mawe ya white Quartz ( sio yale transparent bali yale meupe kabisa rangi kama maziwa) ukiniconnect na mteja pesa yako ipo
Una tani ngapi?
 
Msaada kwa anaejua soko zuri la wanunuzi wa madini ya mawe ya white Quartz (sio yale transparent bali yale meupe kabisa rangi kama maziwa) ukiniconnect na mteja pesa yako ipo

Weka namba za simu sio kila mtu atajibu wengn wanakupigia
Ni ushauri tu [emoji1]
 
Back
Top Bottom