vifaa vya ujenzi ni pamoja na equipment, nadhani swala langu linatanguliwa na demand iliyopo kwanza kabla ya kutazama ni vitu gani nataka ku supply. Nipe orodha ya vitu vinavyohitajika nami nitakupa bei zake at wholesale price.mkandara
kwa vifaa vya ujenzi . please specify, on finishing trade of the building i can advice and recommend