Natafuta spare ya Sony MHC-GNZ7D

Natafuta spare ya Sony MHC-GNZ7D

Basi Nenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
20,774
Reaction score
47,866
Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha muonekano wake
download (2).jpeg
download (1).jpeg
 
Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha muonekano wakeView attachment 2679225View attachment 2679226
Kama upo DSM, wapelekee sony service center. Hawa wapo Barabara ya Cokacola ukiwa unatoka clouds radio
 
Back
Top Bottom