Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha muonekano wake
Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha muonekano wakeView attachment 2679225View attachment 2679226