SOFTWARE Natafuta spare za simu ya s4

SOFTWARE Natafuta spare za simu ya s4

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
Natafuta spare za s4 ikiwepo machine. Machine iwe nzima lakini
 
Kununua kitu kama machine ya simu ni risk kubwa sana hasa kwa mtu usiemjua
 
Kununua kitu kama machine ya simu ni risk kubwa sana hasa kwa mtu usiemjua
Nafunga mkuu kwenye simu alafu nampa pesa. Kifungua na kufunga kwenye sim nyingine kama nusu saa tu
 
Back
Top Bottom