Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninatatizo la Bp ya kupanda na natumia dawa za presha. Tatizo linalonisumbua ni uwezo wa kusikia umepungua na uwezo wa kunusa nao umepungua vilevile nasikia mvumo wa kelele kwenye sikio naombeni msaada wapendwa
nenda muhimbili jitengo cha ENT, au nenda AAR Tabata Jumanne au Jmosi utsmkuta specialist wa ENT
au nenda ekenywa mwembechai.Nashukuru sana mpendwa
Ekenywa Hospital, Magomeni mwembechai