Natafuta sponsor wa masomo ya elimu ya juu

Natafuta sponsor wa masomo ya elimu ya juu

matthew's

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
12
Reaction score
3
Samahani ndugu zangu wana jamii forum naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie ni wapi naweza kuwapata hawa sponsors kwa ajili ya masomo yangu ya degree. Ni kutokana na hali ilivyo mbaya kwenye mikopo yetu ya elimu ya juu.ikizingatiwa si wengine uwezo wetu kiuchumi ni mdogo sana.
 
Back
Top Bottom