Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka.
Sasa nimeona ni vizuri kumuunga mkono kuliko kumlazimisha abadili muelekeo.
Kama Kuna mtu anazifahamu academy za mpira wa miguu hapa Tz hasa Mwanza, naomba anipe taarifa zake na namna ya kujiunga na hizo academy.
Pia kama una ushauri mwingine wa namna ya kumuendeleza katika soka, nitashukuru pia.