Sahivi watoto wanadanyana sana wanataka maisha rshisi me nna watatu nawajua wamegoma shule wanataka kucheza mpira mmoja wa kidato 5 na wengine 6 na 2Kuna kijana wangu yuko kidato cha tatu. Anapenda sana kucheza mpira na anacheza vizuri. Kila nikikaa nae nikimuuliza anatamani kufanya nini katika maisha yake, anasema anataka kucheza soka.
Sasa nimeona ni vizuri kumuunga mkono kuliko kumlazimisha abadili muelekeo.
Kama Kuna mtu anazifahamu academy za mpira wa miguu hapa Tz hasa Mwanza, naomba anipe taarifa zake na namna ya kujiunga na hizo academy.
Pia kama una ushauri mwingine wa namna ya kumuendeleza katika soka, nitashukuru pia.
Mpeleke shule za michezo uko ata elimu ya darasani wanafundisha pia.Sahivi watoto wanadanyana sana wanataka maisha rshisi me nna watatu nawajua wamegoma shule wanataka kucheza mpira mmoja wa kidato 5 na wengine 6 na 2
Kaka kwa Mwanza Mpeleke alliance au fountains.Sahivi watoto wanadanyana sana wanataka maisha rshisi me nna watatu nawajua wamegoma shule wanataka kucheza mpira mmoja wa kidato 5 na wengine 6 na 2
Asante sana. Nitapita huko.Kaka kwa Mwanza Mpeleke alliance au fountains.