Kuku wa Kabanga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 807
- 368
Mkuu una collateral security?na huu mradi unaotaka kuufaunya upo economically viable?Habari wanajamvi,nina mpango wa kusajili kampuni ya money transfer itayodili na mpesa na mitandao mingine,shida yangu ni kwamba sina mtaji wa kuanzia,je,nikienda benki naweza kupata bila shida kwa kutegemea na idea yenyewe,pia nafanya process zipi?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
huko riba si chini ya 20% monthly.. utaumia.. anza na biashara za kawaida uyanyue mtaji au tafuta mtu mwenye hela unayohitaji ungie nae mktaba anunue hisa.. mshirikiane kutafuta kazi mnagawana faida..What if nikifungua kaofisi kamoja,then nikataka kuexpand,hapo nitaweza kukopesheka?nimefikiria kukopa kwa hawa moneylenders mbadala ie micro-finance institutions za uchochoroni,tatizo lao interest rate iko juu sana.nafanyaje wakuu?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums