Natafuta studio lights kit kwa udi na uvumba

Natafuta studio lights kit kwa udi na uvumba

ZionTZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
1,283
Reaction score
541
wakuu heshima ziwafikie popote mlipo, nahitaji msaada tajwa hapo juu....wapi naweza pata studio lights kit nzuri? nielekezeni mkuu hata kama mnayo pia mnaweza nipatia taarifa

iwe na miamvuli miliwi/ mitatu

stand zake

flash detector

background stand + muslin --optional

pia nahitaji ushauri wa nyie mapro, kwa chumba chenye ukubwa wa 3*3 taa za watts ngapi zinafaa???
 
Back
Top Bottom