Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 190
Wana JF nina tatizo na Window Mesenger yangu kuwa inanisain automatically. Nimekwenda kwenye tools na kuopt inidai password lakini bado haijazuia kusign in auto. Tafadhal mwenye kuweza kunipa suluhu. Nasubiri