Natafuta suluhu

Kichankuli

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2008
Posts
887
Reaction score
190
Wana JF nina tatizo na Window Mesenger yangu kuwa inanisain automatically. Nimekwenda kwenye tools na kuopt inidai password lakini bado haijazuia kusign in auto. Tafadhal mwenye kuweza kunipa suluhu. Nasubiri
 
Mkuu,

Kama unatumia Version 2009 (Build 14.0.8064.206).
(Kujua version gani uliyonayo then click: Help --- About Messenger)

1. Jaribu ku sign out kwanza. i.e. file -- sign out

2. Itakuletea ile screen ya mwanzo (kanakwamba vile hauja sign in bado)

3. Wewe ondoa 'tick' kwenye
a) Remember me
b) Remember my password
c) Sign me automatically

Natumaini Nimekusaidia
 

Version yangu ni 4.7 (4.7.3000) na ninaposign out hizo options a) hadi c) hazitokei badala yake inakuwepo barua pepe yangu na maelekezo ya kusign in mimi na yale ya kusign in kwa akaunti nyingine
 
Unatumia Windows XP?

XP inafeature ya ku-associate account yako ya windows na passport account, na pengine hicho ndicho kilichotokea.

Nenda kwenye Control Panel -> User Accounts halafu click kwenye user name yako. Account editor ikifunguka, kwenye "Related Tasks" bar upande wa kushoto, click on "Manage my network passwords". Kwenye dialog itakayofunguka ondoa email yako kama ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…