Natafuta Sungura na Njiwa wa kununua

wanan

Senior Member
Joined
May 11, 2011
Posts
141
Reaction score
44
Natafuta sungura na njiwa kwa ajili ya kufuga wa kila aina tafadhali
 
Natafuta sungura na njiwa kwa ajili ya kufuga wa kila ina tafadhali

Sema uko wapi tukuelekeze. Kijana wangu huwa anatafuta wateja Wa sungura. Sasa unataka tukuelekeze wako Arusha kumbe mtu mwenyewe uko Mliyayoyo kwa Wanyasa!!
 
Ni PM nipo Dsm

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ninao wengi sana sungura ila bado nazalisha mkuu kwa sasa sipo tayari kuwauza labda mpaka hapo badae.
 
njiwa ninao wengi sana nicheck 0715 497942.Niko dar kibamba
 
nenda gongolamboto shuka kituo cha ukonga kituo kinachofata wanauzwa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…