Natafuta Supplier wa Mercury (Hg) Dar es salaam

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
587
Reaction score
276
Wadau wale wa kemikali ya mercury kwa ajili ya kuchakachulia dhahabu ningependa kulangua kemikali hii kwa small scale miners (wachimbaji wadogo). Mwenye kujua sippliers wakubwa wa mercury anipm tufanye businesa.
 
mh, polisi hawajasoma hapa kweli? inabidi uangalie nyuma na mbele wakati una'taip, mie simo!
 
Hii kitu ni hatari mkuu,huwezi kununua kama sabuni
 
Wadau wale wa kemikali ya mercury kwa ajili ya kuchakachulia dhahabu ningependa kulangua kemikali hii kwa small scale miners (wachimbaji wadogo). Mwenye kujua sippliers wakubwa wa mercury anipm tufanye businesa.

mkuu, hivi JPM akikusikia kwa maneno haya unadhani atakuacha salam
bila ya kukutumbua kijipu uchungu..?
 
wote mnaosema siogopi kufanya hii biashara mnamaanisha nini? muhimu ni kufuata sheria na taratibu.
 
Hili ni eneo hatari sana kama huna uzoefu. Kuwa makini
 
Asikutishe mtu we kama ni mtu wa migodin hutakiwi kuulizia hapa maana hata nikikuambia inapatina wap bado hutajua nani wakumuuzia.
Na kama unafahamiana na wachimbaji lazima ujue wapi pa kununua.
Kwa kifupi ukinunua dhahab ukienda kuuza hapo Indira Gandhi street posta utawaomba wakuuzie mercury na inapatikana kwa kilo laki nne
 

.......Like
 
Badala ya Mercury,kwa nini usiwafundishe au washawishi watu wa small scale wanunue borax mana nayo inafanya kazi kama mercury na iko salama sana compared to mercury. Ingia youtube.com na angalia gold extraction using borax
 
Na pia inapatikana jeshini ngerengere wachimbaji wengi huwa Wanunua huko!
Kuna watu wanaona kama mercury hiyo haipatikani wakati ipo kibaoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…