maharage ya ukweni
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,415
- 3,213
Afu jamaa anajiita maharage ya ukweni.... sijui ndio yale ya Mbeya?Nenda mashambani hko mtibwa, kagera au Moshi Kama hutaki madalali!
Mkuu kumbe kuna miwa ya kula?Miwa kwajili ya kula, juice ama kutengeneza sukari? Be specific maana species zinatofautiana..
Miwa ya aina gani mkuu,miwa ya kutafuna au miwa ya kutengeneza sukari?Salaam!
Wakuu natafuta connections ya muuzaji miwa malipo cash kwa bei ya jumla
Tafadhali sihitaji Dalali nataka connections na mkulima mweny
Itakuwa ile ya kutengeza juiceMiwa kwajili ya kula, juice ama kutengeneza sukari? Be specific maana species zinatofautiana..
Miwa ya kutafuna pamoja kutengeneza juiceMiwa ya aina gani mkuu,miwa ya kutafuna au miwa ya kutengeneza sukari?
LocationMiwa ya kutafuna pamoja kutengeneza juice
ChalinzeLocation
Boss una connection ya miwa..mimi nahitaji mzigo wa kutosha ila ni miwa ya juisi....kama una connection ya wakulima wa miwa niambie ni mkoa gani na upatikanaji wake ukojeCheck PM