Natafuta supplier wa nguruwe

Ninao nguruwe Wa kutosha nauza nyama kwa jumla.kwa anayeitaji ni pm.napatikana dar
 
Mimi nimeanza kufuga mwaka jana nimeanza na majike 30 now nina nguruwe 230 ninataka niwe na uwezo wa kusuply nguruwe 100 kila week naendelea kuzalisha kwa kasi ya ajabu nimegjndua shida sio wateja shida ni uhakika wa bidhaa niko busy sana kuhakikisha kama kuna soko nalishika ipasavyo!!
 
Soon nitakuwa supplier wako napambana kuzalisha niko kerege,, tayari ninao 230 ili niweze kukidhi soko nataka nisiuze wakifika 450 naanza maana nitakuwa nazalisha kila week niko makini kuhakikisha mwaka mzima mteja wangu hakosi huduma!
 
Hata nyama ya ng'ombe inayo minyoo hiyo pia.
 
Kuna mzungu nilikutana nae boardroom akaniambia anaduga nguruwe Morogoro na amewekeza $15M na anasema soko haliwezi kiasi kwamba soko la ndani hauzi nyama. Inaonekana soko ni kubwa mnotatizo ni ni si ya kuandaa / kukata vipande vinayotakiwa. ZanIbar tu soko lake ni kubwa
 
Okay hapa pia tatizo ni uzalishaji,, wengi wanashindwa kwenye consistency ya mkataba! yaani unatakiwa kuuza nguruwe kg 300 kila week ukianza miezi 3 umeishiwa na mkataba ni wa mwaka!! hapo ndipo tunaanza kupoteana ikiwa issue ni size ya kukata n.k hilo mtu anaweza kupewa somo na biashara ikaendelea! hata ukizunguka kipindi hiki kwa wafugaji wakubwa wengi hawana zaidi ya nguruwe 200! hivyo inabidi atafute soko la wafugaji na sio walaji kwa sana!! naendelea kuwekeza najua nitakuwa mfano! nitaomba wenye masoko ya uhakika kuwa pamoja nami kwa maana mimejipanga kuzalisha kwa kiwango kizuri na kikubwa washindwe wao [emoji1666]
 
Vipi unafuga breed gani?
 
Akiweka na Bei itapendeza zaid
 
Soon nitakuwa supplier wako napambana kuzalisha niko kerege,, tayari ninao 230 ili niweze kukidhi soko nataka nisiuze wakifika 450 naanza maana nitakuwa nazalisha kila week niko makini kuhakikisha mwaka mzima mteja wangu hakosi huduma!
Hongera sana aisee!!

Naona ni biashara nzuri, kuna sehemu huku kila wiki anachinja sita.

Ijumaa, jmosi, jpili.

Na ikifika saa sita hujaweka oda, umekosa tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…