Natafuta supplier wa samaki Sato na Sangara - Dar es salaam

Democrat7

Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
32
Reaction score
11
Habari wanaJF. Bado natafuta mtu anayeuza samaki(Sato & Sangara) kwa bei ya jumla Dar es Salaam. Nataka fungua bucha ya samaki. Plz kama uko Dar tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Asante
 
Supplier ajitokeze tu, wengi wanatafuta hawaulizi tu, atafanya kazi sana.
 
kaka unayateka samaki upo wapi na biashara yako inafanyikiwa wapi?
 
Habari wanaJF. Bado natafuta mtu anayeuza samaki(Sato & Sangara) kwa bei ya jumla Dar es Salaam. Nataka fungua bucha ya samaki. Plz kama uko Dar tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Asante

Na supply sangara kutoka Mwanza kwenda Singida, dodoma na DSM. nitakupigia kesho tuongee
 
kwa anaye hitaji sato toka mwanza bei ya jumla 7300tsh na sangara 5600tsh nakuletea mpaka mlangoni kwa sasa nimebase na wateja wa dar es salaam tuu.
 
unaweza kuniletea npo mbeya
 
Samahani kwa sasa nimebase na wateja wa Dar es salaam tuu,bado mikoani sijaanza kusupply.
 
kwa anaye hitaji sato toka mwanza bei ya jumla 7300tsh na sangara 5600tsh nakuletea mpaka mlangoni kwa sasa nimebase na wateja wa dar es salaam tuu.

Hii ni bei ya kilo au ya samaki mmoja??
 
Mkuu nimeku PM. Unauza kila siku au siku moja moja. Naweza kupata sato kilo 10? Tuwekee namba yako ya simu hapa kwa mawasiliano zaidi.
samahani kiwangocha chini ni kilo 100 hiyo ni kwa jinsi utakavyotaka mteja kama ni kila cku au kwa wiki wiki au kwa kila baada ya cku 1,2,3....nk kwa mawaciliano zaidi namba ni 0753036119 karibu.
 
Back
Top Bottom