Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu.
Nimefungua duka la samaki natafuta mtu anayesupply samaki aina ya sato na sangara ili awe ananiletea. please nipe contact zako
Umefungua nchi gani mkuu?
Au kama ni Tanzania ni mkoa gani,kata,mtaa au hata kijiji
Weka number ya simu, sasa hivi nina mzingo full package wa million 1 nusu sangara nusu sato. Natoka mwaza kuja dar.
tunasubiri majibu yako mzee ya kwamba unapatikana wapi?