Natafuta supplier wa samaki - Sato na Sangara

Democrat7

Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
32
Reaction score
11
Habari wakuu,

Nimefungua duka la samaki natafuta mtu anayesupply samaki aina ya sato na sangara ili awe ananiletea.
Please nipe contact zako.
 
Umefungua nchi gani mkuu?
Au kama ni Tanzania ni mkoa gani,kata,mtaa au hata kijiji
 
Habari wakuu.

Nimefungua duka la samaki natafuta mtu anayesupply samaki aina ya sato na sangara ili awe ananiletea. please nipe contact zako

Weka number ya simu, sasa hivi nina mzingo full package wa million 1 nusu sangara nusu sato. Natoka mwaza kuja dar.
 
Weka number ya simu, sasa hivi nina mzingo full package wa million 1 nusu sangara nusu sato. Natoka mwaza kuja dar.

Tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Niko Dar Mbezi Mwisho
 
Sema mkuu utakuwa unahitaji supply ya wingi gani na how frequent?? tupo tutakuunga na hayo mambo at reasonable prices. fafanua hilo kisha nitakutumia full details
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…