Natafuta Suppliers wa mbuzi Morogoro

Natafuta Suppliers wa mbuzi Morogoro

moz

Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
14
Reaction score
9
Nawezaje pata mtu wa kunipa mbuzi watatu kila siku au baada ya siku mbili kwa ajili ya kuimarisha biashara yangu ya nyama choma ya mbuzi, niko mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa.

Biashara yangu imesajiliwa.
 
Budget yako ikoje ?

Yaani uko tayari kununua mbuzi mmoja kwa kiasi gani ?
 
Budget yako ikoje ?

Yaani uko tayari kununua mbuzi mmoja kwa kiasi gani ?
Inategemeana na ukubwa wa mbuzi maana kwa Kilosa mbuzi wa ukubwa wa wastan huko minadani hununuliwa kwa Tsh.50,000 -65,000/=

Pia nafanya hivyo kwa kuepuka usumbufu wa kukaa kukimbizana minadan kila iitwapo leo so nimewaza kama kutakuwa na mtu maalumu wa kuweza kusupply mimi itanipa muda sasa wa kuwaza mengine na kuwa na muda mzuri wa kutafakari juu ya kuongeza pato langu yaan mradi mwingine.
 
Nawezaje pata mtu wa kunipa mbuzi watatu kila siku au baada ya siku mbili kwa ajili ya kuimarisha biashara yangu ya nyama choma ya mbuzi, niko mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa.

Biashara yangu imesajiliwa.
Mbuzi katoliki?
 
Back
Top Bottom