Inategemeana na ukubwa wa mbuzi maana kwa Kilosa mbuzi wa ukubwa wa wastan huko minadani hununuliwa kwa Tsh.50,000 -65,000/=Budget yako ikoje ?
Yaani uko tayari kununua mbuzi mmoja kwa kiasi gani ?
Mbuzi katoliki?Nawezaje pata mtu wa kunipa mbuzi watatu kila siku au baada ya siku mbili kwa ajili ya kuimarisha biashara yangu ya nyama choma ya mbuzi, niko mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa.
Biashara yangu imesajiliwa.