Habarini wakuu!
Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet
Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie
Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
Habarini wakuu!
Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet
Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie
Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara. View attachment 3237024