Wakuu habari za kazi,
Kuna ndugu yangu anatafuta gari ya kununua,Suzuki Escudo 5d,Ataitumia kijijini,(hali ya barabara sio nzuri sana) ,Kwa hali hiyo anataka iwe na hali nzuri,isiwe imetembea zaidi ya km 120,000...na isiwe imetumika nchini zaidi ya miaka mitatu.Mwenye dili hili tuwasiliane...kwa email frugas78@gmail.com ,picha na details ni muhimu.
Bei isizidi 7.5m
Thanks.
Ukitaka kwa bei 10M mpaka 8M utapata gari ya miaka miwili kutumia Bongo(Ambayo ni kimeo) na 7M mpaka 5M utapata kari ya miaka Mitatu kutumika bongo ambayo hufikishi miezi sita unashusha Engine na Ukitaka la 4M mpaka laki moja utapata gari la mwezi mmoja bora umenunua gari unaendasha mnwezi ukiisha ulipaki ujua ndo kwishne. USHAURI Nunu gari la 13M mpaka 11M utapata gari nzuri wewe
Asante kwa ushauri mkuu...Hiyo gari ni ya ndugu yangu...nitamfikishia ujumbe.....kuna mtu ametuletea Mitshubishi GDI,ina mwezi mmoja Bongo,na imesajiliwa,ina bima(sio comphensive) imetembea 80,000km ya 1997...na anataka 8M,naona ina size ya Escudo,lakini kwa uimara na mengine sijuhi...unatushaurije mkuu...
Wakuu habari za kazi,
Kuna ndugu yangu anatafuta gari ya kununua,Suzuki Escudo 5d,Ataitumia kijijini,(hali ya barabara sio nzuri sana) ,Kwa hali hiyo anataka iwe na hali nzuri,isiwe imetembea zaidi ya km 120,000...na isiwe imetumika nchini zaidi ya miaka mitatu.Mwenye dili hili tuwasiliane...kwa email frugas78@gmail.com ,picha na details ni muhimu.
Bei isizidi 7.5m
Thanks.
Mimi ninayo tena nzuri utaipenda Bei 11M haishuki ni mpya ina miezi sita tokea iwe bongo mshkaji anaitumia. nipe namba nikukwangie sawa Rugas
Mkuu bei hiyo inatisha...sidhani km mshikaj ataweza kupata hiyo amount....
let us think on it...
Wakuu habari za kazi,
Kuna ndugu yangu anatafuta gari ya kununua,Suzuki Escudo 5d,Ataitumia kijijini,(hali ya barabara sio nzuri sana) ,Kwa hali hiyo anataka iwe na hali nzuri,isiwe imetembea zaidi ya km 120,000...na isiwe imetumika nchini zaidi ya miaka mitatu.Mwenye dili hili tuwasiliane...kwa email frugas78@gmail.com ,picha na details ni muhimu.
Bei isizidi 7.5m
Thanks.
kwa nini usigize Japan? mambo mengine ni very simple waka huhitaji kuanza kubagain na mtu.
Agiza mwenyewe fanya mahesabu mpaka kuitoa bandarini, na makorokoro mengine. Usisahau kupiga hesabu ya kuitoa huku dar mpaka huko kijijini. Unaweza ona 7.5 ni nyingi kumbe kwa kitu unachotaka ni kidogo sana.
Enjoy!