Mndundu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 233 Reaction score 34 Feb 8, 2010 #1 Kuna jamaa yangu anatafuta silabasi (Syllabus) za somo la muziki katika shule za sekondary za o level na o level. Yupo nje ya Tanzania kwahiyo yeyote mwenye kuwa nayo au kutoa ushauri wa wapi kwa kuanzia kuipata nitashukuru sana.
Kuna jamaa yangu anatafuta silabasi (Syllabus) za somo la muziki katika shule za sekondary za o level na o level. Yupo nje ya Tanzania kwahiyo yeyote mwenye kuwa nayo au kutoa ushauri wa wapi kwa kuanzia kuipata nitashukuru sana.