Mwenye nazo au anayeweza kunielekeza kwa mwenye hizi taa za nyuma za Toyota Ractis, msaada tafadhali. Ukisaidia na bei zake kwa mpya au used utakuwa umenisaidia sana