Fanya hapohapo SUA
Degree program; AGRICULTURAL ECONOMICS & AGRIBUSINESS [AEA] 2nd yr - SUA
Muda ni kuanzia mwezi wa nane...
Priority areas..:Kanda ya kaskazini especially Arusha & Kilimanjaro
ha ha ha ha watoto wa Dr.msuya,ndyetabula,prf.mdoe,dr.gabagambi....wakiona hii thread yako wataumia na kucheka sana....almashauri field zipo nyingi cha msingi peleka barua acha undeziiii chaliiiiii
" hajajishtukia alichokisema.. kimemtoka kilichopo kwenye akili yake"Mijitu mingine kero tupu We toa ushauri kama unaweza kama huwezi potezea sio lazma uchangie