Natafuta tajiri wa kumuuzia ndizi

Natafuta tajiri wa kumuuzia ndizi

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Natafuta tajiri ambae anaweza akafika shamba kununua ndizi aina ya Mzuzu wa njano,moja ya ndizi nzuri na tamu iwe kwa kuchemsha,kukaanga.

Shamba lipo morogoro mvuha,barabara nzuri zimapitika muda wote si kiangazi wala masika zipo kavu.

IMG_20230729_185647.jpg
 
Kama unatokea jijini Dar na Pwani unakatisha Ngerengere,Tununguo,Magogoni ni mwendo wa masaa manne ukiwa na bus
IMG_20230729_185632.jpg
 
Wawez nipigia kwa wenye uhitaji 0715 378899
IMG_20230729_165204.jpg
 
Hizi uhitaji kuhangaika na sukari,unachemsha pilpil kwa pembenu basi sarakasi za sukari unawaachia wengine.Karibuni
IMG_20230729_190632.jpg
 
Back
Top Bottom