Natafuta takwimu rasmi ya usomaji wa magazeti Tanzania

Raskazimi

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
1,092
Reaction score
1,201
Nimetafuta mtandaoni takwimu za usomwaji wa magazeti nikiwa na nia ya kujua idadi ya magazeti ya kiingereza yanayouzwa/somwa. Kuna anayefahamu utafiti rasmi uliwahi kufanyika kujua gazeti gani linasomwa zaidi ya lingine?
 
ninavyojua mimi the guardian linaongoza kwa kingereza, unataka magazeti tu hata radio/tv?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…