Kumbe wewe ni Afisa Misitu!OK
Ngoja niwasiliane na MAAFISA MISITU wenzangu nijue ni wapi utapata mzigo wa kutosha. Ila itakuwa ni huo ukanda wa coastal regions
Inategemea na aina ya speciesKumbe wewe ni Afisa Misitu!
Eti ushuru wa mbao unafanyikaje?
Mbao moja moja au bulk, eg fuso?
Ahsante.....Inategemea na aina ya species
Kuna hard wood na soft woodAhsante.....
Basi naomba mwongozo wa hizo species.
Chukua hukohuko Pwani aisee,Habari wadau,
Natafuta zaidi ya tani 50 za mianzi (Bamboo) kutoka sehemu yoyote Tanzania Bara. Kwa mwenye kujua mianzi inapatikana wapi kwa wingi niko tayari kuifata hasa kwa maeneo ya Dar es salaam, Pwani, Tanga, Morogoro na maeneo jirani.
Nahitaji kwa matumizi yangu binafsi na niko tayari kusafirisha mwenyewe na kuomba vibali kutoka maliasili.
View attachment 449727
Mwenye kufahamu inapopatikana naomba anijuze.
Nataka kujua haswa utaratibu wa tozo za mbao kwa hizo species: kwa maana ya ammount na utaratibu wa charges zake (wanachaji pa piece au volume)Kuna hard wood na soft wood
Mfano wa hardwood ni Loliondo (Olea capensis), na softwood ni Pinus patula
Nenda tarafa ya Amani wilaya ya Muheza utapata kwa wingi na yenye afya tofauti na huko ulikosikia.Nahitaji mianzi kama inayoonekana hapo juu kwenye picha. Unaweza kuipiga picha unitumie niione.
Kuhusu gharama inategemea na eneo inapopatikana na urahisi wa usafiri
Iringa iko ukanda wa Pwani?Iringa.
nitafute Mimi nikupe...mi npo iringa na tuna ekari 2 hvi za mianziMkuu nashukuru sana, Naweza kupata mawasiliano ya mkazi wa hayo maeneo?
Dah, kama ni kweli basi tuna safari ndefu ya kufikia maendeleo. Nyumbani kwetu bukoba vijijini huwa ipo tena mirefu kama anayoitaka. Tunaita mishekeanda. Huu Uzi ningeuona mapema kipindi nilipokuwa likizo bukoba ningeorganize awe anaipata malighafi hii. Mianzi ya Iringa ni mifupi na myepesi, si rahisi kufikisha tani 50Naona wadau wengi wanaongea kirahisi Nina wasiwasi Kama kweli wanaujua uhalisia. Kuna mtu nilisha wahi interact naye alianzisha kiwanda cha toothpick na mwenzie na malighafi ilikuwa Hiyo mianzi, walizunguka sana Iringa bila mafanikio mpaka wakafunga mradi sababu watu hawauzi mianzi Yao kwasababu ya Pombe ya ulanzi. Walifanikiwa kupata trip moja tu ya fuso na mchezo ukaishia hapo
Jaribu bahati pengine unaweza kupata Ila changamoto ndio Hiyo hawauzi sababu ya ulanzi
Dah, kama ni kweli basi tuna safari ndefu ya kufikia maendeleo. Nyumbani kwetu bukoba vijijini huwa ipo tena mirefu kama anayoitaka. Tunaita mishekeanda. Huu Uzi ningeuona mapema kipindi nilipokuwa likizo bukoba ningeorganize awe anaipata malighafi hii. Mianzi ya Iringa ni mifupi na myepesi, si rahisi kufikisha tani 50
Mkuu binafsi nahitaji si kwa ajioi ya toothpick, Nina matumizi tofauti , nilikuwa nimeshafanikiwa kupata takribani fuso 8 ila sehemu niliyokuwa nachukua upatikanaji wake umeanza kuwa wa shida.. Ndio maana najaribu kutafuta source nyingineNaona wadau wengi wanaongea kirahisi Nina wasiwasi Kama kweli wanaujua uhalisia. Kuna mtu nilisha wahi interact naye alianzisha kiwanda cha toothpick na mwenzie na malighafi ilikuwa Hiyo mianzi, walizunguka sana Iringa bila mafanikio mpaka wakafunga mradi sababu watu hawauzi mianzi Yao kwasababu ya Pombe ya ulanzi. Walifanikiwa kupata trip moja tu ya fuso na mchezo ukaishia hapo
Jaribu bahati pengine unaweza kupata Ila changamoto ndio Hiyo hawauzi sababu ya ulanzi