Natafuta Team kwa ajili ya tourism event

Natafuta Team kwa ajili ya tourism event

mrico

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
173
Reaction score
97
Habari wadau,

Kuna kijana mwezetu anawazo la kufanya tukio la kitalii,, linahitaji watu takribani watano (5) wa kujitolea kuratibu na kuandaa event hii, watajitoa kwa hali na mali na kulipana baada ya kufanikisha event.

Interested?...... contact 0719225113
 
Samahani, hiyo event inahitaji watu wa namna gani!? Pia kuna kiasi chochte kinahitajika kama mchango wa hiyo eventau hamna
 
Habari wadau,

Kuna kijana mwezetu anawazo la kufanya tukio la kitalii,, linahitaji watu takribani watano (5) wa kujitolea kuratibu na kuandaa event hii, watajitoa kwa hali na mali na kulipana baada ya kufanikisha event.

Interested?...... contact 0719225113
Hiyo project imekaaje mkuu pesa ipo imetengwa kwa ajili ya hiyo project na pia imesajiliwa? au tukiungana tunaanza kuchangisha michango?... Na kingine unahitaji watu wenye elimu gani? au hata darasa la saba anafaa?
 
Nina ndugu yangu amesomea hii ishu. KWA sasa yupo udzungwa kama utamhitaji nistue. Anaongea lugha 2 Eng/Kisw
 
Back
Top Bottom