Ahmad Nasibu
Member
- Oct 16, 2013
- 87
- 67
Wadau mbona kimya? Hata wauzaji maarufu jamani mpo ziii? Dah! Nina shida na hii kitu bado...
Hebu nidodose hiyo unayoifahamu wewe mkuu! Kwani hii nimeifanyia mlinganisho na nyinginezo kadhaa hadi kupata muafaka huu...Tuseme unaipendea nini hasa UNAWEZA ukapewa nyingine YENYE sifa km hizo
Umefikiria vibaya. Nimetafuta kwa "udi na uvumba" lakini sikuuchoma. Nimeubwia... Lakini wapi...! Kariakoo yote peupeee... "online markets" zetu hwana hii kitu, wao Samsung tuMi nilikua nawaza tu kama kweli Umetumia "Udi na Uvumba" kuitafuta hiyo simu,
Yaani ulichoma kabisa Udi (Uvumba siujui ukoje) ili uipate na hujaipata bado,
Anhaa,Umefikiria vibaya. Nimetafuta kwa "udi na uvumba" lakini sikuuchoma. Nimeubwia... Lakini wapi...! Kariakoo yote peupeee... "online markets" zetu hwana hii kitu, wao Samsung tu
Tatzo lako we pale kariakoo umeishia kwa hao udi na uvumba tu ebu jaribu na yale maduka mengine hata mlimani city yawezekana ukapataUmefikiria vibaya. Nimetafuta kwa "udi na uvumba" lakini sikuuchoma. Nimeubwia... Lakini wapi...! Kariakoo yote peupeee... "online markets" zetu hwana hii kitu, wao Samsung tu
Anhaa,
haya Mkuu,
Mduka ya Posta pia umefika?
Ila Jiandae kwa bei zaid endapo ukiikuta
NITAJARIBU ZALI LANGU. Lakini hii inamaanisha wana ukumbi pia hawana isipokuwa msaada wa mawazo.. Nashukuru wakuuTatzo lako we pale kariakoo umeishia kwa hao udi na uvumba tu ebu jaribu na yale maduka mengine hata mlimani city yawezekana ukapata
Kumbe Udi na Uvumba ni wauza simu?Tatzo lako we pale kariakoo umeishia kwa hao udi na uvumba tu ebu jaribu na yale maduka mengine hata mlimani city yawezekana ukapata