Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Ongeza na Stan Katabalo, Jombi et cetera🤣🤣🤣Wakuu tutengeneze ajira kwa vijana: Matukio mengi kama G55, Justine kasusura, Sarah simbaulanga n.k , kizazi kipya wanahitaji kuyaona kidigitali na sidhani kama yanamuathiri mtu
Simulizi zitaanza soonMakala hizi hazitahusu siasa. Bali kukumbusha kizazi kipya matukio ya zamani yaani kama jumba la makumbusho kuna picha hadi za utumwa na wazungu wanakuja kuzitembelea bila kusema tumewatukana
SawaSimulizi zitaanza soon