sikiliza broo me nimeomba tempo bado nipo chuo nasoma its just nafanya kazi kwa kipindi ambacho nipo likizo and then tukifungua kama kawaida anrudi chuo na pia ishu ya cv ni kuwa me nipo mwaka wa tatu chuoniKuelewa cyo ishu watu huwa hawaajiriw kwa kuelewa cv ndo inatakiwa,ar u compitent enought kijana?vyeti unavyo au unaelewa 2?una lev gan ya eductn?
sikiliza broo me nimeomba tempo bado nipo chuo nasoma its just nafanya kazi kwa kipindi ambacho nipo likizo and then tukifungua kama kawaida anrudi chuo na pia ishu ya cv ni kuwa me nipo mwaka wa tatu chuoni
sa mbona vyuo vimeisha funguliwa?
ninaelewa computer vizuri,ninaufahamu ktk database,computer maintanance and assembling na pia naweza kufundisha phyisics and chemistry!! na pia naweza kufanya biashara yeyote ile!!wadau mwenye mchongo anistue o714133166 au email edwinjepro@yahoo.com pamoja sana wadau wote wa JF..