J joshuajr1 Member Joined Jan 5, 2013 Posts 44 Reaction score 7 Jul 10, 2013 #1 wanajf,kimsingi natafuta tempo ya kufundisha computer ktk college yoyote hapa dar,mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma with degree program BSE ICT,naomba kuwakilisha kwenu wanajukwaa.
wanajf,kimsingi natafuta tempo ya kufundisha computer ktk college yoyote hapa dar,mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma with degree program BSE ICT,naomba kuwakilisha kwenu wanajukwaa.