Habari wana JF,Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza pale mzumbe university nachukua degree ya accountng and finance(BAF),natafuta kazi yoyote ambayo nitakuwa nafanya na wakati huo huo naendelea na masomo yangu pale chuoni.Kama kuna mtu anaweza kunisaidia tuwasiliane kwenye namba 0789398738
kitu gani mkuu?umepona kile kitu?
kitu gani mkuu?
ha ha ha ha!niko poa mama!.........alikuwa na tatizo la kile kitu...nenda kule jf doc utamkuta....hujambo lakini wewe?