Natafuta tenda ya kuchapa vitabu mbalimbali na upambaji katika ukumbi

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
HAY WANAJAMVI WENZANGU

Mimi ni mfanyabiashara na ni mbunifu wa upambaji katika kumbi mbalimbali za sherehe mbalimbali zikiwemo harusi, kitchen party, kipaimara, misiba na mikutano mbalimbali ya kiserikali na kichama hivyo kwa yeyote anayehitaji kufanyiwa shughuli hiyo anione na

vilevile ni typesseter wa kuchapa vitabu mbalimbali vya maofisin na vya binafsi kama vile Proforma Invoice, Receipt, Petty cash voucher, forms, reports, cash sale, Medical cards, stores requisition,Bank payment voucher, good received note, Ledger book etc na vilevile naprint Mugs, Pens, Tshirts, Caps, Drop Banners, Stickers, Brochures, Business card, Weddings cards, Seasonal cards, Posters, Magazines etc.
kwa mawasiliano email: nikprintgraphics@yahoo.com au 0784 960517

Ni baadhi ya vitu ninavyofanya:
 
Attachments

  • sample.jpg
    sample.jpg
    143.1 KB · Views: 202
Hongera dada, huku ndiko kupambana, halafu watu kama wewe ndiyo tunataka waje wawe viongozi wetu. Watu mnaojua kujishughulisha na kazi. Mkiwa viongozi mtatufaa sana maana hamtakuwa na muda wa kupiga majungu. Baada ya vikao vya chama huyo kushughulikia order za wateja. Hongera sana tutakutafuta kwenye kuprint
 
Asante nashukuru sana kama utanitafuta na nitafurahi sana kama utakuwa mmoja wa kunitafutia tenda kwa marafiki ndugu, jamaa zako unaowafahamu wenye makampuni na wasiona makampuni na wenye biashara mbalimbali, na nashukuru sana kama mwaka 2015 utanichagua katika uchaguzi wa udiwani kwani nataka kugonmbea ila sina uchache ndo nautafuta sasa kwa kazi ambazo nina uujuzi nazo nilizoainisha hapo juu. UBARIKIWE Mpitagwa
 
Last edited by a moderator:
Wewe kweli unastahili pongezi kwa kujituma. Ongeza bidii mdada
 
naomba Robati uniunge mkono kwa jambo hili kwani nategemea nipate wateja kutoka kwenu kama una rafiki na ndugu au wewe mwenyewe mwenye ofisi na au biashara yako unatakiwa kufanyiwa shughuli hizi basi usisite kuniPM ili tuwasiliane vizuri sana

usiku mwema
 
Last edited by a moderator:
HAY WANAJAMVI WENZANGU

Mimi ni mfanyabiashara na ni mbunifu wa upambaji katika kumbi mbalimbali za sherehe mbalimbali zikiwemo harusi, kitchen party, kipaimara, misiba na mikutano mbalimbali ya kiserikali na kichama hivyo kwa yeyote anayehitaji kufanyiwa shughuli hiyo anione na

vilevile ni typesseter wa kuchapa vitabu mbalimbali vya maofisin na vya binafsi kama vile Proforma Invoice, Receipt, Petty cash voucher, forms, reports, cash sale, Medical cards, stores requisition,Bank payment voucher, good received note, Ledger book etc na vilevile naprint Mugs, Pens, Tshirts, Caps, Drop Banners, Stickers, Brochures, Business card, Weddings cards, Seasonal cards, Posters, Magazines etc.
kwa mawasiliano email: nikprintgraphics@yahoo.com au 0784 960517
 
Hello,
Naomba kujua kama una print offset kwa magazine,pili kama waweza naomba kujua magazine yenye pg 68 full colour,gross lamination itakwenda kiasi gani? mwisho nakupongeza
 
maswali mazuri ladyfurahia jibu please

Hello,
Naomba kujua kama una print offset kwa magazine,pili kama waweza naomba kujua magazine yenye pg 68 full colour,gross lamination itakwenda kiasi gani? mwisho nakupongeza
 
HAY WANAJAMVI WENZANGU

Mimi ni mfanyabiashara na ni mbunifu wa upambaji katika
kumbi mbalimbali za sherehe mbalimbali zikiwemo harusi, kitchen party,
kipaimara, misiba na mikutano mbalimbali ya kiserikali na kichama hivyo
kwa yeyote anayehitaji kufanyiwa shughuli hiyo anione na

vilevile ni typesseter wa kuchapa vitabu mbalimbali vya maofisin na vya
binafsi kama vile Proforma Invoice, Receipt, Petty cash voucher, forms,
reports, cash sale, Medical cards, stores requisition,Bank payment
voucher, good received note, Ledger book etc na vilevile naprint Mugs,
Pens, Tshirts, Caps, Drop Banners, Stickers, Brochures, Business card,
Weddings cards, Seasonal cards, Posters, Magazines etc.
kwa mawasiliano email: nikprintgraphics@yahoo.com au 0784
960517

Ni baadhi ya vitu ninavyofanya:

Ukiwa na wateja wanaohitaji huduma za Proofreading, editing, na translation usisite kutuma kaemail kwenye: globalcorporatec@gmail.com tafadhali
 
HAY WANAJAMVI WENZANGU

Mimi ni mfanyabiashara na ni mbunifu wa upambaji katika kumbi mbalimbali za sherehe mbalimbali zikiwemo harusi, kitchen party, kipaimara, misiba na mikutano mbalimbali ya kiserikali na kichama hivyo kwa yeyote anayehitaji kufanyiwa shughuli hiyo anione na

vilevile ni typesseter wa kuchapa vitabu mbalimbali vya maofisin na vya binafsi kama vile Proforma Invoice, Receipt, Petty cash voucher, forms, reports, cash sale, Medical cards, stores requisition,Bank payment voucher, good received note, Ledger book etc na vilevile naprint Mugs, Pens, Tshirts, Caps, Drop Banners, Stickers, Brochures, Business card, Weddings cards, Seasonal cards, Posters, Magazines etc.
kwa mawasiliano email: nikprintgraphics@yahoo.com au 0784 960517

Ni baadhi ya vitu ninavyofanya:

Intresting . . . unaweza kuprint vijarida vya A5 size 50 pages?
 
hoo! best ungeniPM kule ningekupata kwani sijaitembelea hii thread niliyopost muda mrefu jamani oky nitakupm kkukupa bei za hilo magazine unalotaka kuprintiwa best uwe ana subira muda si mrefu toka sasa utapata jibu asante kwa ushirikiano wako

Ninaprint kwa offset machine na vilevile nina digital mashine
Sijakuelewa kuhusu cover la kitabu nalo liko kwenye idadi ya pages au lenyewe linajetegemea tu na kitabu chako unataka kiwe lamination maana umeweka gross lamination sijakuelewa naomba unieleweshe hapo best kisha nikupe bei ya jumla na kwa kukuPM
Hello,
Naomba kujua kama una print offset kwa magazine,pili kama waweza naomba kujua magazine yenye pg 68 full colour,gross lamination itakwenda kiasi gani? mwisho nakupongeza
 
Naweza kuprint na ndo kazi yangu pia hiyo ila sijajua vijarida vyako ni full colour au black and white kwani na sijajua unataka idadi ya vijarida vingapi kwani umetaja tu 50 pages na sijajua cover lake pia anaomba unieleweshe ili nikupe quotation ya kila kijarida na naanzia vijarida visivyopungua 1000pcs kama ni chini ya hapo tutaongea best
aksante sana Cool Gentleman
 
Qty 1000
Size A5
Pages 50 Black and white
Cover: Full Colour
Cover Design: Tutafanya wenyewe
 
Hello,
Naomba kujua kama una print offset kwa magazine,pili kama waweza naomba kujua magazine yenye pg 68 full colour,gross lamination itakwenda kiasi gani? mwisho nakupongeza
Yani wewe kama mimi mawazo yako ndio mawazo yangu
 
Ina amaana nawe ulikuwa unahitaji ufanyiwe huduma hizo au ni mawazo tu?

Nina kitabu kiko kwenye PDF.. I want to print it
460 pages
A4 or A5
plus good binding
give me your quote
 
Back
Top Bottom