Natafuta tenda ya kufanya malipo mbalimbali kwenye kampuni binafsi,kikundi n.k

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na kuajiriwa natafuta tenda ya kuwa nafanya malipo mbalimbali kama mishahara, Suppliers n.k either ni Online banking or otherwise kwenye kampuni,vikundi mbalimbali au mtu binafsi kwa bei ya kawaida kabisa kama part time....Nakaribisha maoni .....Niko serious.
 
Wasubir mama waajiri wanakuja usikate tamaa wengi humu ni waajiriwa na wengine wamejiajir wenyew waajir ni wachache vuta subira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…