kwani kutafuta tenda sio kujiajiri? au ameomba ajira kazini ama sijaelewa.Kwa uelewa wangu naelewa jamaa anakufanyia kazi kwa kumpa tenda sio kumhajiri na kuwa bosi wake.Anaweza kufanyia sehemu yake ndo maana ya Tenda.Kwa hiyo ndo kujiajiri hivyo,otherwise ushauri wako ni mzuri.Kwanini usifikirie kujiajiri , uwe na kampuni yako na utengeneze portals zako ambazo unaweza kuziuza ? Naomba kuona baadhi ya tovuti ulizotengeneza au miradi inayofanana na hiyo uliyowahi kufanya
nafikiri itakuwa best kama dada yangu utatengeneze website yako (kama bado) na kuwa na sample sites kama mbili tatu ili watu waone creativity yako, kuna free web hosting kibao tu just google, web designning is not all about coding its about how well you can present your ideas, watu tukitembelea basi tutakupatia/kutafutia tenda. vinginevyo nimefurahiswa na moyo wako wa kujiajiri don't give up, mungu atakusaidia.
Hongera dada kazana ujiajiri.