Natafuta tenda ya jiko
kwenye bar/grocery/
restaurant ya
kuandaa vyakula kuanzia
supu, vyakula vya mchana na uchomaji wa nyama, mkataba
ni maelewano kuendana na
sehemu yenyewe ilipo na flow
ya wateja,
jamani kwa mwenye jiko na
anatafuta mtu ani PM. NB: Nina uzoefu mkubwa sana
kwenye sekta hii.