Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu habari.

Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla.

Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale.

Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji..

Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free delivery mpaka ofisini kwako , kama upo nje ya Dar naweza kukutumia . Bei inabadilika sana , kwahyo kuhusu bei ni mazungumzo

0616274277 nipigie
 
Back
Top Bottom