Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 226
- 594
Hakuna picha ya milango uliyowahi kutengeneza tuone picha?Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara...
Karibu Ushimen. Nmeweka bei hapoEbu ngoja nitoke hapa Gamalo, kisha nikupigie tuongee kabla sijaenda kwa yule fundi wa pale jirani na Zebra kule Cheyo A
Nimeweka picha. Gharama ni mlango mmoja tsh 450,000 Mbao Mninga.Hakuna picha ya milango uliyowahi kutengeneza tuone picha?
Gharama za kutengeneza mlango mmoja zipo vipi?
Unaweza pata milango. Tuma kama una samples. Tuwasikiane kwa simu plz. Unambie pia upo wapi. Tufanye biasharamimi nataka kwa matumizi binafsi. milango ka 10 hivi naweza pata??
wewe jamaa unazingua kinoma title inasema mkongo na habari yako pia umesifu mbao ya mkongo kuliko mninga apa katika kureply comment unasema mbao mninga hueleweki.Nimeweka picha. Gharama ni mlango mmoja tsh 450,000 Mbao Mninga.
Mpaka hapa najaribu kuangalia ambacho kinaweza kuwa kimekukwaza hata sioni. Maana usipende kukasirika kasirika si jambo zuri kiafya. Lina athari kubwa sana jaribu kUwa na mtizamo chanya. Usipende kuzinguka bila sababu. Uwe na wakati mwema.wewe jamaa unazingua kinoma title inasema mkongo na habari yako pia umesifu mbao ya mkongo kuliko mninga apa katika kureply comment unasema mbao mninga hueleweki.
sio kukwazika unajua kuwa apo itakuja tumika pesa na sio makaratasi na kila mtu anakuwa na aina ya utafutaji wake wa pesa wengine mazingira tu ya kupata iyo 450k ni magumu sasa wewe ukiwa kama fundi elezea vitu kitaalamu sio kusema mimi nakwazika unatakiwa uwe na business ethics sasa apo mbao ipi ni mninga au mkongo?Mpaka hapa najaribu kuangalia ambacho kinaweza kuwa kimekukwaza hata sioni. Maana usipende kukasirika kasirika si jambo zuri kiafya. Lina athari kubwa sana jaribu kUwa na mtizamo chanya. Usipende kuzinguka bila sababu. Uwe na wakati mwema.
Nadhani maelezo yanajieleza ukiacha kwenye kichwa cha habari ambako palikuwa specific. Ukiona sehemu wameandika Chaina inapatikana hapa ukienda unakutaa na chapati,maandazi ,vitumbua vipo.sio kukwazika unajua kuwa apo itakuja tumika pesa na sio makaratasi na kila mtu anakuwa na aina ya utafutaji wake wa pesa wengine mazingira tu ya kupata iyo 450k ni magumu sasa wewe ukiwa kama fundi elezea vitu kitaalamu sio kusema mimi nakwazika unatakiwa uwe na business ethics sasa apo mbao ipi ni mninga au mkongo?
Mi nipo Tabora nakotengenezea.Ila nasafirisha.Mkuu uko wapi?
Kitanda kama hiki Bei gani ?Karibuni. Vitanda na Milango.
View attachment 1870198
View attachment 1870199
View attachment 1870200
Tsh 470,000 tuKitanda kama hiki Bei gani ?
Mpaka Arusha inakuwa Bei gani mkuu?Tsh 470,000 tu