Natafuta tender za printing na designing

Natafuta tender za printing na designing

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Ni mbunifu wa utengenezaji wa vitu mbalimbali kama vile ni mbunifu wa kutengeneza kadi za mialiko ya sherehe na misiba mbalimbali kama vile kadi za harusi, sendoff, kitchen, kipaimara n.k

Na ni mpambaji katika kumbi mbalimbali na sehemu za mikutano mbalimbali iwe ya kidini, kisiasa nk
hivyo natafuta tenda hizo kwa mwanajf yeyote aliyena function yake asisite kuwasiliana nami hapa
kwa email hii: nikprintgraphics@yahoo.com nitampa maelekezo yote.
 
Back
Top Bottom