Natafuta tiba ya ugonjwa wa kinywa - Oral Thrush

Anapam

Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
11
Reaction score
2
Habari zenu,
Natafuta tiba ya ugonjwa wa oral thrush (ramani kwenye ulimi) ambao umekaa muda mrefu bila tiba.

Ugonjwa huu ni kama kwenye picha hii niliyoambatanisha:

 
Hakuna mkuu. Nilishawahi tumia dawa kadhaa za hospital lakini hiyo Hali inaisha inarudi Tena . Naamini Hulu ntapata matibabu ili tatizo liishe kabisa mkuu
Huko ulipo google mkuu hukupata majibu
 
Kama uko moshi nicheki nitakupatia hiyo dawa.
 
Kanunue FLUCONAZOLE.. vidonge 30. kimoja kwa kila cku...
Nitafute ikiwa haitakusaidia
 
Mambo ya chumvini hayo acha kopiga deki utapata kansa ya koo au kinywa
 
Sawaa mkuu
 
Habari zenu,
Natafuta tiba ya ugonjwa wa oral thrush (ramani kwenye ulimi) ambao umekaa muda mrefu bila tiba.

Ugonjwa huu ni kama kwenye picha hii niliyoambatanisha:

View attachment 1950243
This is not Oral thrush.! Hii ni Geographical tongue (Benign migratory glossitis)
Oral thrush ama ‘Oral Candidiasis’ ni fungal infection.

Nakushauri nenda kwenye kituo cha afya ili uweze pata tiba sahihi na sio ku’google’ mtandaoni.
 
Una uhakika ????
Useless comment .Mm nliwahi kuumwa na sijawahi fanya ujinga huyo..Watanzania elimu ya magonjwa hatuna ila tunakariri. ni kama mtu akiwa na HIV lazima aonekane malaya .Which is not true
 
Hello, mtoa mada ulishapona hili tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…