Natafuta tiles za aina hii

Natafuta tiles za aina hii

Ziggler

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
378
Reaction score
127
Habarini wadau,

Natafuta tiles za aina hii ziwe na rough surface kwa juu hata ikipata maji isiwe ya kuteleza kirahisi

Nahiraji urgently sana nimezunguka maduka mengi ya kariakoo bila mafanikio, mwenye anyo au anayejua ntakapozipata naomba
msaada tafadhali.


20201005_144910.jpg
 
Nenda CTM wapo pale round about ya Kawe.

Au 'Taha' wapo njia panda ya Africana Mbezi Beach.
 
Nenda CTM wapo pale round about ya kawe

Au 'Taha' wapo njia panda ya africana mbezi beach
Shukrani ntajaribu ya ctn jumatatu.....taha nilienda ya clocktower pale ila hawakua nazo...ntajaribu ya Africana.
 
Nenda Monalisa keko DDC au mirango changombe VETA

Ova
 
Back
Top Bottom