Ngosha Mashine
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 665
- 1,360
hapo kuagiza Japan hiyo mil.10-11 ni jumla gharama zote mpaka kulichukua?ikiwa kwa maana ya yard bei huanzia mil 11-12 kutegemeana na condition ya hyo gari.
- kuagiza japan ina range kuanzia mil.9.5-11 kulingana na condition ya gari na exchange rate
- kwa mtu inategemea pia ina condition gani yaan imesajiliwa mwaka gani bongo(namba) na ina km's ngapi, ila kwa yenye hali nzur na namba kuanzia c na kuendelea basi bei inaanziaga mil 6.5 - 9
ndiyohapo kuagiza Japan hiyo mil.10-11 ni jumla gharama zote mpaka kulichukua?
Inachukua mda gani kufika?ndiyo