Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Mar 3, 2010 #1 Zinahitajika pickup mbili Toyota Landcruiser; zenye engine ya 1HZ au 1KZ. Ziwe katika hali nzuri Bei at most 18m Tshs.
Zinahitajika pickup mbili Toyota Landcruiser; zenye engine ya 1HZ au 1KZ. Ziwe katika hali nzuri Bei at most 18m Tshs.
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Mar 3, 2010 #2 Masikini_Jeuri said: Zinahitajika pickup mbili Toyota Landcruiser; zenye engine ya 1HZ au 1KZ. Ziwe katika hali nzuri Bei at most 18m Tshs. Click to expand... Bila shaka utapata, kuna dalali hapa JF anaitwa Mhe. Kitomai, huwa ni muuzaji maarufu wa magari online, hasa JF. Sasa hivi anakuja! All the best!
Masikini_Jeuri said: Zinahitajika pickup mbili Toyota Landcruiser; zenye engine ya 1HZ au 1KZ. Ziwe katika hali nzuri Bei at most 18m Tshs. Click to expand... Bila shaka utapata, kuna dalali hapa JF anaitwa Mhe. Kitomai, huwa ni muuzaji maarufu wa magari online, hasa JF. Sasa hivi anakuja! All the best!
vivian JF-Expert Member Joined Nov 2, 2009 Posts 1,749 Reaction score 1,000 Mar 3, 2010 #3 Idimi said: Bila shaka utapata, kuna dalali hapa JF anaitwa Mhe. Kitomai, huwa ni muuzaji maarufu wa magari online, hasa JF. Sasa hivi anakuja! All the best! Click to expand... Huyu jamaa yuko vizuri kuhakikisha mtwangie kwenye no.0717114409. hii ni No. ya kazi so sioni ubaya kuanika hapa.
Idimi said: Bila shaka utapata, kuna dalali hapa JF anaitwa Mhe. Kitomai, huwa ni muuzaji maarufu wa magari online, hasa JF. Sasa hivi anakuja! All the best! Click to expand... Huyu jamaa yuko vizuri kuhakikisha mtwangie kwenye no.0717114409. hii ni No. ya kazi so sioni ubaya kuanika hapa.
M mnyakyusa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2010 Posts 248 Reaction score 40 Mar 3, 2010 #4 Unataka USED au Brand New na hiyo bei ni FOB au CIF to Dar port
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Mar 3, 2010 Thread starter #5 used; brand new siwezi ziwepo hapa nchini ! na ikiwezekana kusiwepo mizengwe ya duties; lakaini hata zenye duties tuongee bei. Asanteni wadau.
used; brand new siwezi ziwepo hapa nchini ! na ikiwezekana kusiwepo mizengwe ya duties; lakaini hata zenye duties tuongee bei. Asanteni wadau.