Natafuta Toyota Noah SR40 ya Kununua

English Learner

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
356
Reaction score
357
Wadau,

Poleni na kazi za kutafuta mkate wa kila leo.

Baada ya kukosa Toyota Noah ya kukodi nimeamua kujimwambafy kwa kutafuta ya kununua. Nahitaji Toyota Noah SR 40 ambayo haina zaidi ya miezi mitano (5) toka isajiliwe nchini Tanzania.

Gari iwe inatembea, isiwe na tatizo lolote, iwe na documents zote na mawasiliano yawe ya moja kwa moja kati ya mmiliki na mnunuzi. Yaani kwa kifupi, dalali HANA nafasi. Ikitokea ikabainika kuwa aliyewasiliana nami documents hazimtambui, biashara itakufa hapo hapo.

Ikiwa unauza Toyota Noah na ni mmiliki wasiliana nami kwa namba 0735 19 77 19; email: english.learnertz@gmail.com

Asanteni na karibuni tufanye biashara.
 
English Learner,

Sasa biashara ikifa kisa kuna mtu wa kati anayepoteza ni nani hapa?,wewe uliyetangaza unataka gari au anayeuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…