Natafuta Toyota Premio ya kununua, Model ya kati

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Husika na kichwa hapo juu, natafuta gari aina ya Premio model ya kati wengi tumezoea new model.

Au IST lakini pendekezo la kwanza ni Premio. Karibuni sana OFFER YANGU NI MILLION KUMI NA MOJA (11,000,000)

Napendelea sana kusiwe na dalali.

0787757175 WhatsApp/call/sms.
 
Nenda show room, kinyume cha hapo wenye connection za magari nil madalali huwezi kuwakwepa.

Halafu Saa nyingine mnasumbuliwa na roho mbaya tu, Dalali anaweza kulipwa commission na muuzaji mwenyewe.
 
Gold star [emoji294]️ au kampuni gani Nzuri njoo upake hiyo roho Rangi iwe Nzuri Kama Yako.
 
Daaah madalali wengi kama sio woote wana tamaa. Nasema kwa uzoefu nao.
 
Nenda show room, kinyume cha hapo wenye connection za magari nil madalali huwezi kuwakwepa.

Halafu Saa nyingine mnasumbuliwa na roho mbaya tu, Dalali anaweza kulipwa commission na muuzaji mwenyewe.
Madalali ndo wanaroho mbaya kuliko mteja…
Wanatabia mbaya sn ya kushikilia gari hata km mteja kafika bei ili wapate cha juu
 
Back
Top Bottom