Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Nenda show room, kinyume cha hapo wenye connection za magari nil madalali huwezi kuwakwepa.Husika na kichwa hapo juu, natafuta gari aina ya Premio model ya kati wengi tumezoea new model.
Au IST lakini pendekezo la kwanza ni Premio. Karibuni sana OFFER YANGU NI MILLION KUMI NA MOJA (11,000,000)
Napendelea sana kusiwe na dalali.
0787757175 WhatsApp/call/sms.
Nenda show room, kinyume cha hapo wenye connection za magari nil madalali huwezi kuwakwepa.
Halafu Saa nyingine mnasumbuliwa na roho mbaya tu, Dalali anaweza kulipwa commission na muuzaji mwenyewe.
Dah una bahati mbaya mzee, nimetoka kuuza premio yangu jana kwa 10.5 Namba DXX, ilikuwa imenyooka sana sema nimeuza kwa dharula..
Madalali ndo wanaroho mbaya kuliko mteja…Nenda show room, kinyume cha hapo wenye connection za magari nil madalali huwezi kuwakwepa.
Halafu Saa nyingine mnasumbuliwa na roho mbaya tu, Dalali anaweza kulipwa commission na muuzaji mwenyewe.